Available languages:
António Guterres (Katibu Mkuu wa UN) Ujumbe wa maadhimisho ya miaka 70 tangu kupitishwa kwa mkataba wa kimataifa wa mauaji ya halaiki
30 Nov 2018 -  Ujumbe wa video wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika maadhimisho ya miaka 70 ya mkataba wa kimataifa wa kuzuia na kuadhibu uhalifu wa mauaji ya kimbari na siku ya kimataifa ya kukumbuka na kuenzi manusura wa uhalifu wa mauaji ya halaiki na wa uzuiaji wa uhalifu wa aina hiyo.
Recent Video On Demand