Features

Kuiwezesha Mitindo ya Kiafrika

Kuiwezesha Mitindo ya Kiafrika

Categories
Production Date
Video Length
00:01:15
Asset Language
Subject Topical
Summary
Tukio la kuiwezesha Mitindo ya Kiafrika lilifanyika kwenye makao makuu ya UNESCO mwezi Januari baada ya Wiki ya Haute Couture ya mitindo ya majira chipukizi na kiangazi 2024.
View moreView less
Description

Tukio la kuiwezesha Mitindo ya Kiafrika lilifanyika kwenye makao makuu ya UNESCO mwezi Januari baada ya Wiki ya Haute Couture ya mitindo ya majira chipukizi na kiangazi 2024. Iliwasilisha mielekeo na changamoto muhimu zinazochagiza sekta ya mitindo, nguo, sanaa na ufundi barani Afrika iliyobainishwa katika ripoti iliyochapishwa mwaka  2023, pamoja na tafiti na ushuhuda kutoka kwa watu mashuhuri katika mfumo wa ikolojia wa mitindo wa Kiafrika.

https://www.unesco.org/en/articles/empowering-african-fashion-sector-un…

View moreView less