Available languages:
Ujumbe wa video wa Katibu Mkuu kuhusu sikui ya maizngiar dunaiani (Juni 5)
2 Jun 2017 - 
Bahari
Ardhi
Misitu
Maji
Hewa ambayo kwayo twapumua
Ni msingi wa mustakabali endelevu
Bila mazingira yenye afya hatuwezi kukomesha umasikini na kujenga kwa mafanikio
Wote tuna jukumu la kutimiza katika kulinda nyumba yetu pekee
Twaweza kutumia plastiki chache, kupunguza matumizi ya vyombo vya moto, kupunguza vyakula taka, Na kufundishana sisi kwa sisi kujali.
Katika siku ya dunia ya mazingira na kila siku hebu tujiunganishe na asili .
Tuithamini sayari inayolotulinda.