Available languages:
Mabadiliko ya tabia nchi: kuichagiza dunia
30 May 2017 -  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres atoa wito wa kuchua hatua ili kukabiliana na changamoto ya kimataifa ya mabadiliko ya tabia nchi wakati akihutubia wanafunzi , viongozi wa biashara na wanazuoni kwenye chuo Kikuu cha New York.