Kila mwaka viongozi wa dunia hukutana kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York kutafuta suluhu za changamoto zinazokabili ulimwengu. Kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa litaanza rasmi Septemba 18, 2018.