Available languages:
Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua
27 Nov 2015 -  Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-moon amekuwa akipazia sauti mabadiliko ya tabianchi tangu ashike wadhifa huo mwaka 2007. Video hii inaangazia baadhi ya juhudi hizo na wito wake wa kutaka hatua zaidi kuelekea mkutano wa COP21 wa mabadiliko ya tabianchi.