Available languages:
"Hebu tuufanye mwaka 2017 mwaka wa amani"- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres
1 Jan 2017 -  Katika ujumbe wake wa siku ya kwanza kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametoa wito kwa dunia kudhamiria lengo moja- "kupatia amani kipaumbele" katika mwaka 2017.
Open Video Category
Non-Governmental Organizations