Available languages:
Najivunia kuwa mfanyakazi mwenzenu” António Guterres
3 Jan 2017 -  Katika siku yake rasmi ya kwanza ya jukumu la Ukatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, tarehe 3, Jumanne kwenye makao makuu , Katibu Mkuu António Guterres aliweka shada la maua kukumbuka wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliopoteza maisha wakiwa kazini. "Ni lazima tupatie msisitizo thamani ya umataifa” alisema wakati akihutubia wafanyakazi kabla ya kuwa na vikao na viongozi wenzake waandamizi.
Recent Video On Demand