Available languages:
Wakimbizi wa Burundi wawasili Uvira, DRC
21 May 2015 -  Tangu kuanza kwa mzozo wa kisiasa nchini Burundi, tarehe 25 Aprili, siku ambapo Rais Pierre Nkurunziza ametangazwa kuwa mgombea Urais wa chama tawala, zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makwao na kutafuta hifadhi kwenye nchi jirani, ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, ni zaidi ya wakimbizi 9,000 waliofika kwenye eneo la Uvira, Kivu Kusini. Je safari yao ilikuwa vipi? Assumpta Massoi anasimulia zaidi.
Recent Video On Demand