Available languages:
Huduma na kujitolea: Mlinda Amani wa Cameroon anawawezesha wanawake na wasichana.
26 Jan 2018 -  Gladys Ngwepekeum Nkeh ni afisa wa polisi wa Umoja wa Mataifa (UNPOL) kutoka nchini Cameroon, anayefanya kazi na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA.) Anashirikiana na jamii za wenyeji mjini Bangui kuhakikisha usalama na kuwawezesha wanawake na wasichana katika eneo hilo.