Available languages:
Ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa: Huduma na Kujitolea
29 May 2018 -  Zaidi ya nchi 120 zinachangia askari, polisi na raia kwenda kuhudumu katika mazingira hatarishi zaidi duniani kwa lengo la kusaidia watu walio hatarini zaidi. Wanawake na wanaume zaidi ya milioni moja wanashiriki huduma hiyo ya ulinzi wa amani chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa.