Available languages:
Kaa Tayari kwa ajili ya kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
2 Sep 2018 -  Kila mwaka viongozi wa dunia hukutana kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York kutafuta suluhu za changamoto zinazokabili ulimwengu. Kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa litaanza rasmi Septemba 18, 2018. Jiandae na kongamano la kipekee la kisiasa ulimwenguni. Angalia historia ikiundwa.