Available languages:
Wiki hii, Mei 6, 2016
6 May 2016 -  Ungana na Flora Nducha na Priscilla Lecomte kwenye video ya wiki hii ndani ya Umoja wa Mataifa. Tunaangazia suala la ujangili wa tembo, watoto wanaotumikishwa vitani DRC na huduma za afya vitani.