Available languages:
António Guterres (Katibu Mkuu wa UN) Maadhimisho ya mwaka 2018 ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ukwepaji sheria wa uhalifu dhidi ya waandishi wa habari
26 Oct 2018 -  Ujumbe wa video wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga ukwepaji sheria wa vitendo vya uhalifu dhidi ya waandishi wa habari (2 Novemba 2018).
Recent Video On Demand