Available languages:
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ujumbe wa Siku Ya Umoja wa Mataifa
19 Oct 2017 -  Dunia yetu inakabiliwa na changamoto nyingi kubwa.
Kuongezeka kwa migogoro na kutokuwepo usawa.
Hali mbaya ya hewa na ukosefu wa stahamala
Vitisho vya usalama-ikiwemo silaha za nyuklia.
Tuna nyenzo na rasilimali za kukabili changamoto hizi. tunachokihitaji ni utashi.
Matatizo ya dunia yanavuka mipaka.
Ni lazima tuzishinde tofauti zetu ili kubadili maisha yetu ya baadaye.
Tunapofikia haki za binadamu na utu kwa wote - watajenga dunia ya amani, endelevu na yenye haki.
Katika siku ya Umoja wa Mataifa, hebu, ‘sisi binadamu’, tuifanye ndoto hii itimie.
Asante. Shukran. Xie Xie. Merci. Spasibo. Gracias. Obrigado. Yet
United Nations Day