Search
12 results found
Language (Audio):
Kiswahili
News & Features
Mshindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu: Julienne Lusenge
Bi. Julienne Lusenge, ni kiongozi, mjenzi wa amani, mwanaharakati wa haki za binadamu na mchechemuzi apazae sauti ambaye amekuwa akichangia kila wakati na bila kulegeza msimamo juu ya haki za wanawake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kwa zaidi ya miaka 40.
Audio Languages: English, Kiswahili
11 December 2023
News & Features
Ndani ya uwezo wetu
Aidan Gallagher, mwigizaji, mwimbaji
na balozi mwema wa shirika la Umoja
wa Mataifa la mpango wa mazingira
duniani, UNEP anaeleza jinsi gani
mkataba wa Paris wa mabadiliko ya
tabianchi ndio njia ya kuunda dunia
yenye hewa safi na nishati safi yenye
Audio Languages: Kiswahili
20 April 2021
News & Features
#TheWorldWeWant
Maonyesho ya mtandaoni ya #TheWorldWeWant ni mkusanyiko maalum wa picha 75 zilizopangwa kutoka picha zaidi ya 50,000 kutoka nchi zaidi ya 130 na ni upanuzi wa ubunifu wa mazungumzo ya UN75 ulimwenguni, na wito wa Katibu Mkuu wa UN kusikia moja kwa
Audio Languages: Kiswahili
20 October 2020
Messages
Ujumbe Wa Katibu Mkuu Wa Un Kuwakumbuka Waliopoteza Maisha Wakati Wa Vita Kuu Ya Pili Ya Dunia
Katika wakati huu wa ukumbusho na maridhiano, tunatoa heshima kwa mamilioni ya watu waliopoteza maisha katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia, na kukumbuka kujitolea kwao.
Hatupaswi kusahau kamwe mauaji ya maangamizi makubwa na uhalifu mwingine mbaya
Audio Languages: Kiswahili
8 May 2020
Messages
Ujumbe Wa Katibu Mkuu Wa Umoja Wa Umoja Wa Mataifa Kuhusu Virusi Vya Corona
Wapendwa marafiki zahma inayosababishwa na virusi vya Coroka -COVID 19 inatuzunguka sote.
Najua wengi wana hofu, wasiwasi na wamechanganyikiwa.
Hiyo ni hali ya kawaida kabisa.
Audio Languages: Kiswahili
13 March 2020
News & Features
(Kiswahili) Do you know all 17 SDGs?
The Sustainable Development Goals (SDGs), are a universal call to action to end poverty, protect the planet and ensure that all people enjoy peace and prosperity.
Audio Languages: Kiswahili
27 August 2018
Messages
(Kiswahili) António Guterres (UN Secretary-General ) on World Refugee Day (20 June)
United Nations Secretary-General video message on World Refugee Day 2018.
On World Refugee Day ( #withRefugees ), held every year on June 20th, we commemorate the strength, courage and perseverance of millions of refugees.
Audio Languages: Kiswahili
20 June 2018
Messages
(Kiswahili) International Women's Day 2018 Message: UN Secretary-General António Guterres
Video message by H.E. Mr. António Guterres, United Nations Secretary-General, on the occasion of International Women's day 2018.
Audio Languages: Kiswahili
6 March 2018
News & Features
Matumbawe yako hatarini Ushelisheli
Mabadiliko ya tabia nchi yanatishia maisha ya matumbawe maarufu Ushelisheli. Kutana na wahifadhi wanaopigania kubadili hali hiyo.
Audio Languages: Kiswahili
5 June 2017
News Stories
Wiki hii, Mei 6, 2016
Ungana na Flora Nducha na Priscilla Lecomte kwenye video ya wiki hii ndani ya Umoja wa Mataifa. Tunaangazia suala la ujangili wa tembo, watoto wanaotumikishwa vitani DRC na huduma za afya vitani.
Audio Languages: Kiswahili
6 May 2016